Mahuluti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mahuluti ni aina ya kamusi ambayo hutafsiri maneno au misamiati kwa lugha tatu tofauti, kwa mfano: Kiswahili, Kiingereza na Kifaransa.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahuluti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.