Mahnaz Afkhami

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mahnaz Afkhami (alizaliwa Januari 14, 1941) ni raia wa Irani, mwanaharakati wa haki za wanawake ambaye alihudumu katika Baraza la Mawaziri la Irani kuanzia mwaka 1976 hadi 1978.

Ni mwanzilishi na rais wa Women's Learning Partnership (WLP) na pia mkurugenzi mkuu wa shirika la Foundation for Iranian Studies.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahnaz Afkhami kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.