Nenda kwa yaliyomo

Mahdi Abu-Omar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mahdi Muhammad Abu-Omar (alizaliwa Yerusalemu, 18 Oktoba 1970) ni mtaalamu wa kemia kutoka Palestina na Marekani, ambaye kwa sasa ni Profesa wa Kemia ya Kijani katika Idara za Kemia na Biokemia pamoja na Uhandisi wa Kemikali katika Chuo Kikuu cha Santa Barbara Califonia. [1][2]

  1. "Mahdi Abu-Omar". ucsb.edu. Iliwekwa mnamo Machi 2, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "The Mellichamp Endowed Chairs in Sustainability | Duncan and Suzanne Mellichamp Academic Initiative in Sustainability". sustech.ucsb.edu (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-08. Iliwekwa mnamo 2017-08-07.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahdi Abu-Omar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.