Nenda kwa yaliyomo

Magodonga Mahlangu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Magodonga Mahlangu wa WOZA akipokea tuzo ya Robert F Kennedy ya haki za Kibinadamu kutoka kwa Obama mwaka 2009

Magodonga Mahlangu(1972) ni mwanaharakati wa haki za wanawake kutoka Zimbabwe ambaye mwaka 2009 alitunukiwa tuzo ya haki za kibinadamu ya Robert F Kennedy na rais wa marekani Barack Obama. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Obama awards - and kisses - Zimbabwe women activists. BBC News, 24 November 2009. Retrieved 15 October 2011.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Magodonga Mahlangu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.