Magharibi mwa Norwei
Mandhari
Magharibi mwa Norwei (Kinorwei: Vestlandet, Vest-Norge, Vest-Noreg) ni kanda iliyopo katika pwani ya bahari ya Atlantiki huko mjini kusini mwa nchi ya Norwei. Kanda ina-jumlisha baadhi ya majimbo kama vile Rogaland, Hordaland, Sogn og Fjordane, na Møre og Romsdal na kanda ina wakazi wapatao milioni 1.3. Mji mkubwa kabisa katika kanda hii ni Bergen, wa pili kwa ukubwa ni Stavanger. Agder, Vest-Telemark, Hallingdal, Valdres na sehemu za kaskazini mwa Gudbrandsdal zilikuwa katika jimbo hili wakati wa kupanga Magharibi mwa Norwei.[1][2]
Miji
[hariri | hariri chanzo]Kanda hii ina miji ipatayo 22. Imewekewa ukubwa kulingana na idadi ya wakazi:
- Bergen
- Stavanger
- Sandnes
- Ålesund
- Haugesund
- Molde
- Kristiansund
- Stord
- Egersund
- Førde
- Bryne
- Florø
- Åkrehamn
- Kopervik
- Jørpeland
- Odda
- Ulsteinvik
- Sauda
- Fosnavåg
- Skudeneshavn
- Måløy
- Åndalsnes
Wilaya
[hariri | hariri chanzo]Hizi ni wilaya ambazo zimegawiwa kulingana na mfumo wa utawala wa sasa. Umepangwa kutoka Kaskazini kwenda Kusini.
- Nordmøre (kikawaida haujumlishwi katika sehemu ya Magharibi mwa Norwei)
- Romsdal
- Sunnmøre
- Nordfjord
- Sunnfjord
- Sogn
- Voss
- Nordhordland
- Midthordland
- Sunnhordland
- Hardanger
- Haugaland
- Ryfylke
- Jæren
- Dalane
Majimbo
[hariri | hariri chanzo]Ngao | Jimbo | Makao makuu | Mji mkubwa | Idadi ya wakazi (2010) | Eneo (km²) | Msongamano | Meya | Chama | Gavana | Muundo wa lugha |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Hordaland | Bergen | Bergen | 596,900 | 15,440 | 31,13 | Torill Selsvold Nyborg | Christian Democratic Party | Lars Sponheim | Nynorsk | |
Rogaland | Stavanger | Stavanger | 569,300 | 9,377 | 46,07 | Tom Tvedt | Norwegian Labour Party | Harald Thune | Bokmål | |
Møre og Romsdal | Molde | Ålesund | 300,200 | 15,121 | 16,71 | Olav Bratland | Conservative Party of Norway | Ottar Befring | Nynorsk | |
Sogn og Fjordane | Leikanger | Førde | 123,300 | 18,622 | 5,77 | Nils R. Sandal | Centre Party | Oddvar Flæte | Nynorsk | |
Jumla | 1,589,700 | 58,560 km² | 21,73/km² |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Vestlandet (Store norske leksikon)
- ↑ Helle, Knut (2006). Vestlandets historie. Bergen, Norway: Vigmostad & Bjørke. ISBN 978-82-419-0400-4.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- History of Iceland
- Western Norwegian Emigration Center
- Nærøyfjord and Geirangerfjord Unesco world heritage
- Fjords in Western Norway - Startpage
Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Magharibi mwa Norwei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |