Mageuzi
Mandhari
Mageuzi (kwa Kiingereza: "reform") ni mabadiliko ya taratibu hasa katika siasa ya nchi, tofauti na mapinduzi ambayo yanafanyika haraka na mara nyingi kwa kutumia nguvu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mageuzi Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |