Mafuta House

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jengo la Benjamin William Mkapa, zamani lilijulikana kama Mafuta House, jengo hili ni moja ya majengo marefu nchini Tanzania Ni jengo la kibiashara na lina milikiwa na mfuko wa hifadhi ya jamii ujulikanao kama National Social Security Fund (NSSF).[1]

Jengo hilo awali lilimilikiwa na shirika la mafuta (Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) na shirika la nyumba National Housing Corporation (NHC), na baada ya ujenzi kusimama kwa muda wa miaka mitano kutokana na ukosefu wa fedha. Ujenzi uliendelea mwaka 2004 baada ya kununuliwa na NSSF.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]