Maceió
Mandhari

Maceió | |||
| |||
Majiranukta: 9°39′57″S 35°44′06″W / 9.66583°S 35.73500°W | |||
Nchi | Brazil | ||
---|---|---|---|
Kanda | Northeast | ||
Jimbo | Alagoas | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 922,458 | ||
Tovuti: www.maceio.al.gov.br |
Maceió ni jina la mji mkuu wa jimbo la Alagoas katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 920,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 7 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kireno) Tovuti rasmi
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maceió kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |