Mabafu ya Aïn Doura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Magofu ya Mabafu ya Aïn Doura

Mabafu ya Aïn Doura ni magofu ya zama za Warumi yaliyopo Dougga, Tunisia. Eneo hili lina magofu ya mabafu ya kirumi yaliyokuwepo tangu Karne ya nne, na inatambulika kama sehemu muhimu ya urithi wa kiakiolojia na Taasisi ya Urithi wa Kitaifa ya Tunisia.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]