Kibalti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kibalti''' ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Pakistan na Uhindi inayozungumzwa na Wabalti. Idadi ya wasemaji wa Kibalti...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:43, 17 Oktoba 2015

Kibalti ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Pakistan na Uhindi inayozungumzwa na Wabalti. Idadi ya wasemaji wa Kibalti imehesabiwa kuwa watu 270,000 nchini Pakistan (1992) na 20,000 nchini Uhindi (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibalti iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibalti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.