Mjao : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating interwiki links, now provided by Wikidata on d:q39297
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mjao''' inaeleza ukubwa wa gimba la hisabati ([[mchemraba]], [[tufe]], [[mcheduara]]) kwa kupima nafasi ya yaliyomo yake. Hupimwa katika vizio vya ujazo kama [[mita ujazo]] (m³) au [[sentimita ujazo]] (cm³). Kila gimba lenye urefu, upana na kimo huwa na mjao.
'''Mjao''' ([[ing.]] ''volume'') inaeleza ukubwa wa gimba la hisabati ([[mchemraba]], [[tufe]], [[mcheduara]]) kwa kupima nafasi ya yaliyomo yake. Hupimwa katika vizio vya ujazo kama [[mita ujazo]] (m³) au [[sentimita ujazo]] (cm³). Kila gimba lenye urefu, upana na kimo huwa na mjao.


Alama yake ni '''V'''.
Alama yake ni '''V'''.

Pitio la 08:58, 10 Aprili 2015

Mjao (ing. volume) inaeleza ukubwa wa gimba la hisabati (mchemraba, tufe, mcheduara) kwa kupima nafasi ya yaliyomo yake. Hupimwa katika vizio vya ujazo kama mita ujazo (m³) au sentimita ujazo (cm³). Kila gimba lenye urefu, upana na kimo huwa na mjao.

Alama yake ni V.

Hali halisi nje ya hisabati kuna njia mbili za kuangalia mjao wa gimba:

  • ujazo wa nje kwa jumla (kwa mfano kama kitu kinazamwa katika kiowevu kinasukuma kiasi gani cha kiowevu hiki?)
  • ujazo wa ndani (kwa mfano yaliyomo ya boksi au tangi)


Mifano ya kukadiria mjao wa magimba kadhaa

Kadirio ya mjao ni Urefu x Upana x Kimo.

mchemraba mwenye urefu wa ukingo "a":

mchemstatili mwenye urefu wa kingo "a", "b" na "c":

tufe lenye rediasi "r"::

mcheduara au mche mwenye eneo la kitako "A" na kimo "h":