Kiloma (Liberia) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza fr:Loma (langue)
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza pl:Język loma
Mstari 15: Mstari 15:
[[fr:Loma (langue)]]
[[fr:Loma (langue)]]
[[kv:Лома (кыв)]]
[[kv:Лома (кыв)]]
[[pl:Język loma]]
[[pms:Lenga Loma, Liberia]]
[[pms:Lenga Loma, Liberia]]

Pitio la 19:23, 3 Machi 2013

Kiloma ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Waloma. Kisichanganywe na lugha ya Kiloma nchini Cote d'Ivoire. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiloma imehesabiwa kuwa watu 165,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiloma kiko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiloma (Liberia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.