Warshawa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3rc2) (Roboti: Imeongeza or:ୱାରସ
d r2.7.3) (Boti: Inarbadilisha tl:Warsaw hadi tl:Varsovia
Mstari 190: Mstari 190:
[[th:วอร์ซอ]]
[[th:วอร์ซอ]]
[[tk:Warşawa]]
[[tk:Warşawa]]
[[tl:Warsaw]]
[[tl:Varsovia]]
[[tpi:Woso]]
[[tpi:Woso]]
[[tr:Varşova]]
[[tr:Varşova]]

Pitio la 06:14, 26 Januari 2013

Warshawa (Kipoland: Warszawa) ni mji mkuu wa Poland pia mji mkubwa mwenye wakazi milioni mbili.

Kitovu cha kihistoria cha Warshawa

Jiografia

Warshawa iko katikati ya nchi kando la mto Vistula (Kipoland:(polnisch Wisła) takriban 350 km kutoka Bahari Baltiki.

Historia

Warshawa imekuwa mji tangu karne ya 15 ikawa mji mkuu wa Poland mwaka 1596. Iliharibiwa mara nyingi katika historia yake hasa wakati wa vita kuu ya pili ya dunia. Wapoland walijaribu kuasi dhidi ya Wajerumani waloshika mji kati ya 1939 na 1944; pamoja na vofo vingi asilimia 90% za nyumba zote ziliharibiwa.

Baada ya vita mji ulijengwa upya mara nyingi kwa kurudisha nyumba zinazofanana na nyumba za kale.

Utamaduni

Kuna vyuo 66 pamoja na Chuo Kikuu cha Warshawa, vyuo vikuu vingine, nyumba za maigizo, opera na makumbusho mbalimbali.

Uchumi

Warshawa ni mji wa viwanda vingi vya kutengenezea chuma, mashine, motokaa na mengi mengine.

Picha za Warshawa

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Warshawa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

ak:Warsaw