Papa Silvester III : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza sh:Silvestar III.
d r2.7.2) (Robot: Modifying sh:Silvestar III. to sh:Silvestar III
Mstari 49: Mstari 49:
[[ro:Papa Silvestru al III-lea]]
[[ro:Papa Silvestru al III-lea]]
[[ru:Сильвестр III]]
[[ru:Сильвестр III]]
[[sh:Silvestar III.]]
[[sh:Silvestar III]]
[[sk:Silvester III.]]
[[sk:Silvester III.]]
[[sv:Silvester III]]
[[sv:Silvester III]]

Pitio la 05:35, 17 Novemba 2012

Papa Silvester III

Papa Silvester III alikuwa papa kuanzia Januari hadi Mei 1045 baada ya Papa Benedikto IX kufukuzwa upapani mwezi wa Septemba 1044. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Yohane wa Crescenzi.

Alilazimishwa kujiuzulu akafuatwa na Papa Benedikto IX.

Alirudi katika dayosisi yake na kufariki mwaka 1063.

Viungo vya nje

Papa Sivester III katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Silvester III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.