Tim Berners-Lee : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: als:Tim Berners-Lee
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza uz:Tim Berners-Lee
Mstari 104: Mstari 104:
[[tr:Tim Berners-Lee]]
[[tr:Tim Berners-Lee]]
[[uk:Тім Бернерс-Лі]]
[[uk:Тім Бернерс-Лі]]
[[uz:Tim Berners-Lee]]
[[vec:Tim Berners-Lee]]
[[vec:Tim Berners-Lee]]
[[vi:Tim Berners-Lee]]
[[vi:Tim Berners-Lee]]

Pitio la 11:27, 20 Mei 2012

Tim Berners-Lee mnamo 2005

Tim Berners-Lee (* 18 Juni 1955 mjini London, Uingereza) alianzisha wavuti au intaneti ya dunia zima. Wavuti ni mfumo unaowezesha watu kutazama habari, picha na kurasa kutoka dunia yote kwenye tarakilishi yao.

1991 Berners-Lee alikuwa mtaalamu wa kompyuta kwenye CERN (taasisi ya kinyuklia ya Ulaya). Maabara ya CERN ziko pande zote mbili za mpaka wa Uswisi na Ufaransa. Haikuwa rahisi kupata mawasiliano kati ya kompyuta pande zote mbili za mpaka kwa sababu kila nchi ilikuwa na utaratibu wake.

Berners-Lee alitunga lugha ya programu HTML (inayotumiwa leo hii kuandika kila karibu kila ukurasa kwenye toovuti hata wikipedia). Alianzisha pia mpango wa kuweka kompyuta kando kama seva kwa watumiaji wengine. Alitunga mipangoy a kupanusha wavuti kote duniani akasisitiza ya kwamba programu zote ziwe programu huria.

Kwa kazi hizi alikuwa baba wa wavuti.

Leo hii anaishi Marekani akiwa profesa kwenye chuo kikuu cha MIT mjini Boston.

Viungo vya Nje

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tim Berners-Lee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.