Bongo Flava : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Bongo Flava
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Nako 2 Nako.jpg|thumb|right|160px| Kundi la [[Hip Hop]] Kutoka [[Kaskazini]] mwa [[Tanzania]] '[[Arusha]]' ( Nako 2 Nako )]]'''Bongo Flava ''' ni muziki kutoka [[Tanzania]]. Bongo Flava sio staili moja ya muziki. Ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu na ubunifu mkubwa wa vijana nchini Tanzania, hasa katika jiji la [[Dar Es Salaam]]. Ni R&B, Rap & Hip Hop. ni muziki wa mchanganyiko wa midundo ya kisasa na asili, n.k. Muziki huu hujulikana pia kwa jina la Muziki wa Kizazi Kipya.
[[Image:Nako 2 Nako.jpg|thumb|right|160px| Kundi la [[Hip Hop]] Kutoka [[Kaskazini]] mwa [[Tanzania]] '[[Arusha]]' ( Nako 2 Nako )]]'''Bongo Flava ''' ni muziki kutoka [[Tanzania]]. Bongo Flava sio staili moja ya muziki. Ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu na ubunifu mkubwa wa vijana nchini Tanzania, hasa katika jiji la [[Dar Es Salaam]]. Ni mchangayiko wa R&B, Rap, Hip Hop, na midundo ya asili, n.k. Muziki huu hujulikana pia kwa jina la Muziki wa Kizazi Kipya.


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==

Pitio la 01:17, 24 Agosti 2007

Kundi la Hip Hop Kutoka Kaskazini mwa Tanzania 'Arusha' ( Nako 2 Nako )

Bongo Flava ni muziki kutoka Tanzania. Bongo Flava sio staili moja ya muziki. Ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu na ubunifu mkubwa wa vijana nchini Tanzania, hasa katika jiji la Dar Es Salaam. Ni mchangayiko wa R&B, Rap, Hip Hop, na midundo ya asili, n.k. Muziki huu hujulikana pia kwa jina la Muziki wa Kizazi Kipya.

Viungo vya nje