Barbadosi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.5) (roboti Nyongeza: mhr:Барбадос
Mstari 162: Mstari 162:
[[roa-rup:Barbados]]
[[roa-rup:Barbados]]
[[ru:Барбадос]]
[[ru:Барбадос]]
[[rw:Barubadosi]]
[[sa:बार्बाडोस]]
[[sa:बार्बाडोस]]
[[sah:Барбадос]]
[[sah:Барбадос]]

Pitio la 10:00, 5 Januari 2011

Barbadosi

Barbados ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi takriban 430 km kaskazini.- mashariki ya Venezuela (Amerika Kusini).

Nchi jirani za karibu kuvukia bahari ni Saint Lucia na Saint Vincent upande wa magharibi, Trinidad na Tobago upande wa kusini na Grenada upande wa kusini-magharibi. Barbados ni kisiwa cha Antili Ndogo.

Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Barbadosi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.