Kiserbokroatia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9: Mstari 9:
Baada ya kuporomoka kwa Yugoslavia tangu [[1991]] maeneo yake yaliendelea kama nchi za pekee. Kila nchi kati ya [[Serbia]], [[Kroatia]] na [[Bosnia-Herzegovina]] ilianza kudai ya kwamba lugha ya watu wake ni lugha ya pekee. Neno na wazo la "Kiserbokroatia" ilifutwa kati ya wasemaji wa lugha baada ya kipindi cha uadui na vita za wenyewe kwa wenyewe.

----

*Kroatia: A B C Č Ć D Dž Đ E F G H I J K L Lj M N Nj O P R S Š T U V Z Ž
*Kroatia: A B C Č Ć D Dž Đ E F G H I J K L Lj M N Nj O P R S Š T U V Z Ž
*Serbia: А Б В Г Д Ђ Е Ж З И Ј К Л Љ М Н Њ О П РС Т Ћ У Ф Х Ц Ч Џ Ш
*Serbia: А Б В Г Д Ђ Е Ж З И Ј К Л Љ М Н Њ О П РС Т Ћ У Ф Х Ц Ч Џ Ш
*Bosnia-Herzegovina: A B V G D Đ E Ž Z I J K L Lj M N Nj O P R S T Ć U F H C Č Dž Š
*Bosnia-Herzegovina: A B V G D Đ E Ž Z I J K L Lj M N Nj O P R S T Ć U F H C Č Dž Š

----

Kroatian: Bijela sol za kuhanje kemijski je spoj natrija i klora.
Vlak sa željezničkoga kolodvora krenut će točno u deset sati.

Serbian: Bela so za kuvanje je hemijsko jedinjenje natrijuma i hlora.
Voz sa železničke stanice krenuće tačno u deset časova.

Bosnian: Bijela so za kuhanje je hemijski spoj natrijuma i hlora.
Voz sa željezničke stanice krenut će tačno u deset sati.

----

[[category:Lugha za Kislavoni]]
[[category:Lugha za Kislavoni]]

Pitio la 19:03, 3 Aprili 2010

Kuhariri Serbia, Kroatia na Bosnia-Herzegovina (2006).

Kiserbokroatia iliyoitwa pia Kikroatoserbia (halafu pia "Kiserbia au Kikroatia" na "Kikroatia au Kiserbia" - srpskohrvatski au cрпскохрватски au hrvatskosrpski au hrvatski ili srpski au srpski ili hrvatski) ilikuwa lugha rasmi ya Yugoslavia pamoja na Kislovenia na Kimasedonia.

Katika Ufalme na baadaye jamhuri ya Yugoslavia iliunganisha lahaja za karibu za Wakroatia, Waserbia na Wabosnia. Ilikuwa mpango wa kuunda lugha sanifu ya kisasa na kujenga umoja wa kitaifa.

Kufuatana na tamaduni mbalimbali katika Yugoslavia iliandikwa kwa alfabeti ya Kikirili upanda wa Mashariki katika eneo la Serbia na kwa alfabeti ya Kilatini upande wa Magharibi katika eneo la Kroatia.

Baada ya kuporomoka kwa Yugoslavia tangu 1991 maeneo yake yaliendelea kama nchi za pekee. Kila nchi kati ya Serbia, Kroatia na Bosnia-Herzegovina ilianza kudai ya kwamba lugha ya watu wake ni lugha ya pekee. Neno na wazo la "Kiserbokroatia" ilifutwa kati ya wasemaji wa lugha baada ya kipindi cha uadui na vita za wenyewe kwa wenyewe.

  • Kroatia: A B C Č Ć D Dž Đ E F G H I J K L Lj M N Nj O P R S Š T U V Z Ž
  • Serbia: А Б В Г Д Ђ Е Ж З И Ј К Л Љ М Н Њ О П РС Т Ћ У Ф Х Ц Ч Џ Ш
  • Bosnia-Herzegovina: A B V G D Đ E Ž Z I J K L Lj M N Nj O P R S T Ć U F H C Č Dž Š

Kroatian: Bijela sol za kuhanje kemijski je spoj natrija i klora. Vlak sa željezničkoga kolodvora krenut će točno u deset sati.

Serbian: Bela so za kuvanje je hemijsko jedinjenje natrijuma i hlora. Voz sa železničke stanice krenuće tačno u deset časova.

Bosnian: Bijela so za kuhanje je hemijski spoj natrijuma i hlora. Voz sa željezničke stanice krenut će tačno u deset sati.