Kimeng'enya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: xal:Искг
d roboti Nyongeza: ext:Enzima; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Triosephosphate isomerase.jpg|thumb|200px|Modeli ya kimeng'enya kinachoitwa TIM]]
[[Picha:Triosephosphate isomerase.jpg|thumb|200px|Modeli ya kimeng'enya kinachoitwa TIM]]

'''Kimeng'enya''' ni [[molekuli]] za pekee za [[protini]] zinazojengwa na mwili na kazi chake ni kichocheo cha kikemia mwilini. Kichocheo kinaharakisha [[mmenyuko wa kikemia]]. Kwa hiyo vimeng'enya vinasaidia kazi za mwilini kama [[mmeng'enyo]] wa chakula.

Mfano wake ni kimeng'enya cha amylasi kinachopatikana katika [[mate]] mdomoni. Inavunja molekuli za [[wanga]] kuwa molekuli ndogo zaidi. Hizi molekuli ndogo zaidi zinaendedela kuvukwa tumboni laki i kazi ya tumbe imesharahisishwa kutokana na kimeng'enya katika mate.

Mstari 10: Mstari 10:

== Viungo vya Nje==
== Viungo vya Nje ==
*[http://www.elevatedliverenzymes.net Elevated liver enzymes details]
* [http://www.elevatedliverenzymes.net Elevated liver enzymes details]

{{mbegu-biolojia}}
{{mbegu-biolojia}}

[[Category:Biolojia]]
[[Jamii:Biolojia]]

[[af:Ensiem]]
[[af:Ensiem]]
Mstari 37: Mstari 37:
[[et:Ensüüm]]
[[et:Ensüüm]]
[[eu:Entzima]]
[[eu:Entzima]]
[[ext:Enzima]]
[[fa:آنزیم]]
[[fa:آنزیم]]
[[fi:Entsyymi]]
[[fi:Entsyymi]]

Pitio la 10:49, 24 Januari 2010

Modeli ya kimeng'enya kinachoitwa TIM

Kimeng'enya ni molekuli za pekee za protini zinazojengwa na mwili na kazi chake ni kichocheo cha kikemia mwilini. Kichocheo kinaharakisha mmenyuko wa kikemia. Kwa hiyo vimeng'enya vinasaidia kazi za mwilini kama mmeng'enyo wa chakula.

Mfano wake ni kimeng'enya cha amylasi kinachopatikana katika mate mdomoni. Inavunja molekuli za wanga kuwa molekuli ndogo zaidi. Hizi molekuli ndogo zaidi zinaendedela kuvukwa tumboni laki i kazi ya tumbe imesharahisishwa kutokana na kimeng'enya katika mate.

Kuna pia vimeng'emya nje ya mmeng'enyo tumboni vina kazi kote mwilini ndani ya seli kwa mfano vinaendesha kunakiliwa kwa DNA wakati wa kuzaa.

Vimeng'enya vimepata kazi pia katika teknolojia. Vinatiwa katika sabuni ya kuosha nguo na kuharakisha kuondolewa kwa mafuta au damu.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimeng'enya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.