Tofauti kati ya marekesbisho "Makampuni Memba (Soko la Hisa la Nairobi)"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
Makampuni memba ya [[Soko la Hisa la Nairobi]] yanajumuisha [[Mabenki ya Uwekezaji]] na Makampuni za Ubroka. Kwa kuwa memba katika soko hili, makampuni haya yanaruhusiwa kuuza na kununua hisa katika soko kwa niaba ya wawekezaji.

== Umuhimu wa Data ==
Lengo kuu ya kuuza na kununua hisa katika soko ni kupata faida kifedha. Hivyo basi, wafaa kuwa na habari/data yote inayohusiana na hisa ya makampuni uliyonayo na unayotaka kununua. Umuhimu wa data hii kwa wawekezaji wa hisa ni kama vile:
* Wawekezaji wa dhana hutumia data hii kuagua bei ya hisa mbali mbali katika wakati wa karibu ujao
* Mabenki ya uwekezaji hutumia data hii kuchagua makampuni watakayonunua
* Makampuni hutumia data hii sana sana inayolegea upande wa utendaji wa uchumi ili kupanga mienendo yake ya usoni

== Asili ya Data ==
Kama jina inavyoashiria, 'wachuuzi wa data' hushughulika na kueneza kwa data hiyo. Hivyo basi, hukusanya data kutoka kwa asili mbali mbali na kuieneza kwa wanaohitaji kwa mfano, wawekezaji katika soko la hisa. Asili ya data hii ni kama vile:
* [[Soko la Hisa la Nairobi]]
* Makampuni ya ubroka
* Mabenki ya uwekezaji
* Ripoti ya mwisho wa mwaka ya makampuni

== Orodha ya Makampuni Memba ==
Nukunishi: 2223061

Barua Pepe: info@drummond.co.ke

[http://www.drummond.co.ke WebsiteTovuti]

| '''Dyer & Blair Investment Bank Ltd'''

Loita House, Ghorofa ya 10,

Nukunishi: 2218633

Barua Pepe: shares@dyerandblair.com

[http://www.dyerandblair.com WebsiteTovuti]

| '''Ngenye Kariuki & Co. Ltd.'''

Corner House, Ghorofa ya 8,

Nukunishi: 2217199/241825

Barua Pepe: ngenyekari@wananchi.com

[http://www.ngenyestockbrokers.co.ke WebsiteTovuti]

| '''Suntra Investment Bank Ltd'''

Nukunishi: 2224327

Barua Pepe: info@suntra.co.ke

[http://www.suntra.co.ke WebsiteTovuti]

| '''Reliable Securities Ltd.'''

IPS Building, Ghorofa ya 6

Nukunishi: 3752950

Barua Pepe: cfcfs@cfcgroup.co.ke.

[http://www.cfcbank.co.ke WebsiteTovuti]

| '''Kingdom Securities Ltd'''

Nukunishi: 2210500

Barua Pepe: info@afrikainvestmentbank.com

[http://www.afrikainvestmentbank.com WebsiteTovuti]

| '''ABC Capital Ltd'''

IPS Building, Ghorofa ya 5

Nukunishi: 2218261

Barua Pepe: info@sterlingstocks.com

[http://www.sterlingstocks.com WebsiteTovuti]

| '''ApexAfrica Investment Bank Ltd'''

Rehani House, Ghorofa ya 4

Nukunishi: 2215554

Barua Pepe: invest@apexafrica.com

[http://www.apexafrica.com WebsiteTovuti]

| '''Faida Investment Bank Ltd.'''

Windsor House, Ghorofa ya 1,

Nukunishi: 2243814

Barua Pepe: info@faidastocks.com

[http://www.faidastocks.com WebsiteTovuti]

| '''NIC Capital Securities Ltd.'''

Nukunishi: 2243264

Barua Pepe:info@kestrelcapital.com

[http://www.kestrelcapital.com WebsiteTovuti]

| '''Discount Securities Ltd. (hini ya usimmizi'''

Nukunishi: 2230987

Barua Pepe: discount@dsl.co.ke

[http://www.dsl.co.ke WebsiteTovuti]

| '''African Alliance Kenya Securities.'''

1st Trans-national Plaza

Nukunishi: 2731162

Barua Pepe: securities@africanalliance.co.ke

[http://www.africanalliance.com WebsiteTovuti]

| '''Renaissance Capital (Kenya) Ltd'''

Purshottam Place ,Ghorofa ya 6

264

edits

Urambazaji