Wachuuzi wa Data (Soko la Hisa la Nairobi) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 26: Mstari 26:
Barua Pepe: knowing@africaonline.co.ke
Barua Pepe: knowing@africaonline.co.ke
[www.knowing.co.ke]
[www.knowing.co.ke]
| '''RICH Management Limited'''
8th Floor Purshottam Place, Chiromo Road
Sanduku la Posta 66217-0800

| '''RICH Management Limited'''
8th Floor Purshottam Place, Chiromo Road
Sanduku la Posta 66217-0800
Nairobi, Kenya.
Simu: +254 20 3601817
Nukunishi: +254 20 3601100
Rununu: +254 735 947 214
Barua Pepe: info@rich.co.ke
[www.rich.co.ke]

Nairobi, Kenya.

Simu-+254 20 3601817

Nukunishi- +254 20 3601100

Rununu- +254 735 947 214

Barua Pepe: info@rich.co.ke

[www.rich.co.ke]

| '''Information Convergence Technologies'''
| '''Information Convergence Technologies'''

Pitio la 07:50, 8 Januari 2010

Kutokana na kuongezeka kwa idadi ya makampuni yaliyosajiliwa katika Soko la Hisa la Nairobi, makampuni za uchuuzi wa data inayotumika kuuza na kununua hisa yameongezeka.

Umuhimu wa Data

Lengo kuu ya kuuza na kununua hisa katika soko ni kupata faida kifedha. Hivyo basi, wafaa kuwa na habari/data yote inayohusiana na hisa ya makampuni uliyonayo na unayotaka kununua. Umuhimu wa data hii kwa wawekezaji wa hisa ni kama vile:

• Wawekezaji wa dhana hutumia data hii kuagua bei ya hisa mbali mbali katika wakati wa karibu ujao
• Mabenki ya uwekezaji hutumia data hii kuchagua makampuni watakayonunua
• Makampuni hutumia data hii sana sana inayolegea upande wa utendaji wa uchumi ili kupanga mienendo yake ya usoni

Asili ya Data

Kama jina inavyoashiria, 'wachuuzi wa data' hushughulika na kueneza kwa data hiyo. Hivyo basi, hukusanya data kutoka kwa asili mbali mbali na kuieneza kwa wanaohitaji kwa mfano, wawekezaji katika soko la hisa. Asili ya data hii ni kama vile:

Orodha ya Wachuuzi wa Data

Jedwali lifwatalo laonyesha makampuni ya uchuuzi wa data nchini Kenya.

Knowing Limited
Norfolk Tower, Block G, 1ST Floor
Sanduku la Posta 5831-00100
Nairobi Kenya
Simu: 254 20 2211925/26
Nukunishi: 254 20 2211955
Barua Pepe: knowing@africaonline.co.ke
[www.knowing.co.ke]
RICH Management Limited
8th Floor Purshottam Place, Chiromo Road
Sanduku la Posta 66217-0800
Nairobi, Kenya.
Simu: +254 20 3601817
Nukunishi: +254 20 3601100
Rununu: +254 735 947 214
Barua Pepe: info@rich.co.ke
[www.rich.co.ke]
Information Convergence Technologies
7th Floor, United Insurance Towers
Westlands Rd, Off Museum Hill
Sanduku la Posta 11797 – 00100 Nairobi, Kenya
Simu +254 20 375 4286
Barua Pepe: info@ictkenya.com
[www.ictkenya.com]
Synergy Systems Ltd.
2nd Floor Narshi House
Moktar Daddah Street
Sanduku la Posta 53475 00200
NAIROBI
Simu (020) 240434/340242
Barua Pepe: info@synergy.co.ke
[www.synergy.co.ke]
Standard Group Limited
The Standard Group Center, Mombasa Rd
Sanduku la Posta 30080 – 00100
Nairobi Kenya
Simu: 3222111
Bloomberg L.P
chini ya
Nick Ogbourne
EMEA Exchange Feeds, Bloomberg LP
Office: 44 207 673 2120 Mob: 07866 684404
Barua Pepe: nogbourne@bloomberg.net;
exfeeds@bloomberg.net
Thomson Reuters
No. 1 Mark Square
Leonard Street
London EC2A 4EG UK
Simu: +442070684429
Simu ya Rununu: +447990562549
Mobile Planet.
Westlands Office Park (Baobab, 2nd Floor),
Waiyaki Way
Sanduku la Posta 565 Sarit Centre 00606-Nairobi,
Kenya
Simu: +254 (20) 4456182, 4456183
Nukunishi: +254 (20) 4456184
Barua Pepe: info@mobileplanet.co.ke
Royal Media Services
Communication Centre,Maalim Juma Road,Off
Dennis Pritt Road
Sanduku la Posta 7468-00300 Nairobi,Kenya
Simu: + 254 (0) 202721415/6,2718506/7
Nukunishi: + 254 (0) 202724220,2724 211
Simu ya Rununu: +254 (0) 722-202305/ 0735-969696,
Barua Pepe:citizen@royalmedia.co.ke
row 5, cell 5

Taratibu ya Toleo Jipya ya Hisa

Taratibu ifwatayo hutumika ili kusajili kampuni katika soko la hisa kupitia toleo jipya la hisa:

• Kampuni inayotaka kujisajili kwenye soko huomba idhini kutoka kwa CMA (Capital Markets Authority)
• Baada ya kupata idhini, Benki ya Uwekezaji huchaguliwa kuongoza toleo hilo
• Taratibu ya ununuzaji kama vile nambari ya hisa mtu anaweza kununua hutangazwa kwa umma
• Walio na nia ya kununua hisa hizo katika umma huwasilisha maombi yao ya hisa kwa kujaza fomu an kuwapa mabroka wao. Hii huendelea hadi siku ya kufungwa kwa kupokea maombi ya hisa
• Maombi yaliyosajiliwa hupitiwa na kisha idadi ya hisa zilizoitishwa hutangazwa kwa umma. Kama idadi hii imepita hisa zilizosajiliwa na kampuni, waliojaza fomu za kununua hisa hawatapata hisa zote walizoomba.
• Hisa huanza kubadili katika soko baada ya kila mtu kupewa hisa alizoomba nao wale waliopewa hisa ndogo ya hile walioyoomba hurudishiwa fedha zao.

Angalia pia

Viungo vya nje