Maximinus Thrax : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hu:Maximinus Thrax
Mstari 41: Mstari 41:
[[tl:Maximinus Thrax]]
[[tl:Maximinus Thrax]]
[[tr:Maximinus Thrax]]
[[tr:Maximinus Thrax]]
[[zh:馬克西米努斯·色雷克斯]]

Pitio la 10:25, 21 Septemba 2008

Kaizari Maximinus Thrax

Gaius Iulius Verus Maximinus au Maximinus Thrax (takriban 173 – Aprili 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 20 Machi, 235 hadi kifo chake. Alimfuata Alexander Severus. Kwa vile hakukaa katika mji wa Roma, kulikuwa na makaizari wengi walioasi dhidi yake, kama babu, baba na mwana wa akina Gordian, au Balbinus na Pupienus.