Hospitali ya Bulongwa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Editing
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
'''Hospitali ya Kilutheri ya Bulongwa''' inapatikana [[mkoa wa Njombe]] na inamilikiwa na [[Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ya Kusini Kati.


'''Hospitali ya Kilutheri ya Bulongwa''' inapatikana [[mkoa wa Njombe]] na inamilikiwa na [[Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania]] ya Kusini Kati.
Hospitali hii ilifunguliwa mwaka [[1968]]. Bulongwa Lutheran Hospital ni hospitali ya rufaa yenye vitanda 120. Inapata misaada kutoka katikaserikali kupitia wizara ya afya kwa ajili ya wafanyakazi 27 na vitanda 90 tu. Hospitali hii inahudumia watu wapatao 60,000.<ref> http://health.elct.org/bulongwa/index.htm</ref>

Hospitali hii ilifunguliwa mwaka [[1968]]. Hospitali ya kilutheri ya Bulongwa ni hospitali ya rufaa yenye vitanda 120. Inapata misaada kutoka serikalini kupitia wizara ya afya kwa ajili ya wafanyakazi 27 na vitanda 90 tu. Hospitali hii inahudumia watu wapatao 60,000.
Kuna wodi tano katika hospitali hii ya Bulongwa ambazo ni wodi ya wazazi, wodi ya wanawake, wodi ya wanaume, wodi ya watoto na wodi ya urekebishaji.
<ref> http://health.elct.org/bulongwa/index.htm</ref>


==Marejeo==
==Marejeo==

Toleo la sasa la 08:26, 18 Septemba 2021

Hospitali ya Kilutheri ya Bulongwa inapatikana mkoa wa Njombe na inamilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ya Kusini Kati.

Hospitali hii ilifunguliwa mwaka 1968. Hospitali ya kilutheri ya Bulongwa ni hospitali ya rufaa yenye vitanda 120. Inapata misaada kutoka serikalini kupitia wizara ya afya kwa ajili ya wafanyakazi 27 na vitanda 90 tu. Hospitali hii inahudumia watu wapatao 60,000. Kuna wodi tano katika hospitali hii ya Bulongwa ambazo ni wodi ya wazazi, wodi ya wanawake, wodi ya wanaume, wodi ya watoto na wodi ya urekebishaji. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]