Aïssa Khelladi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:


'''Aïssa Khelladi''' ni raia kutokea nchini [[Algeria]], ni [[mwandishi wa habari]], [[riwaya]] na maigizo, ambaye alichapisha kitabu cha Misingi ya Kiislamu ikiwemo ''Peurs et Mensonges'' na ''Rose d'abime''. Riwaya hizi zote mbili zinajikita katika dini.<ref name=":0">[http://www.africultures.com/php/index.php?nav=personne&no=5106 Aïssa KHELLADI] Africultures.com </ref><ref name=":1">{{cite journal|last=Toler|first=Michael|author2=Aïssa Khelladi|author3=Marie Virolle|date=July 2006|title=Literature, Art, and a Country in Crisis|journal=World Literature Today|volume=80|issue=4|pages=16–20|doi=10.2307/40159128|jstor=40159128}}</ref>
'''Aïssa Khelladi''' ni raia kutokea nchini [[Algeria]], ni [[mwandishi wa habari]], [[riwaya]] na [[maigizo]], ambaye alichapisha vitabu vya misingi ya Kiislamu, tamthilia na riwaya mbalimabali ikiwemo ''Peurs et Mensonges'' na ''Rose d'abime''. Riwaya hizi zote mbili zinajikita katika hali ya sasa ya [[Algeria]].<ref name=":0">[http://www.africultures.com/php/index.php?nav=personne&no=5106 Aïssa KHELLADI] Africultures.com </ref><ref name=":1">{{cite journal|last=Toler|first=Michael|author2=Aïssa Khelladi|author3=Marie Virolle|date=July 2006|title=Literature, Art, and a Country in Crisis|journal=World Literature Today|volume=80|issue=4|pages=16–20|doi=10.2307/40159128|jstor=40159128}}</ref>


== Maisha==
== Maisha==
'''          ''' Aïssa Khelladi alizaliwa nchini [[Algeria]] mwaka 1953, kabla ya vita vya Algeria ya kupambania uhuru wake kati ya chama cha ukombozi cha ''National Liberation Front'' (F.L.N) ya Algeria na serikali ya [[Ufaransa]]. Alianza kuhudhuria masomo ya Kurani katika umri mdogo kabla ya kujiunga na shule ya msingi na Sekondari huko Algiers, kabla ya kuachana na masuala ya elimu pale ambapo si ya ulazima na kuisaidia familia yake.
'''          ''' Aïssa Khelladi alizaliwa nchini [[Algeria]] mwaka 1953, kabla ya vita vya Algeria ya kupambania uhuru wake kati ya chama cha ukombozi cha ''National Liberation Front'' (F.L.N) ya Algeria na serikali ya [[Ufaransa]]. Alianza kuhudhuria masomo ya Kurani katika umri mdogo kabla ya kujiunga na shule ya msingi na Sekondari huko Algiers kabla ya kuachana na masuala ya elimu pale ambapo si ya ulazima na kuisaidia familia yake.
Alifanya mtihani wa ''baccalaureate '' kabla ya kuendelea na elimu ya juu katika chuo kikuu cha Algiers na kutunikiwa shahada ya kwanza ya sanaa na DEA ambayo ni sawa na shahada ya uzamili ya saikolojia baada ya kupata mkopo kutoka wizara ya ulinzi ya Algeria. Baada ya kupata shahada ya kwanza, aliandika vitabu viwili kati ya mwaka 1981 na 1984, “Attende et Journal” na hadithi fupi.
Alifanya mtihani wa ''baccalaureate '' kabla ya kuendelea na elimu ya juu katika chuo kikuu cha Algiers na kutunikiwa shahada ya kwanza ya sanaa na DEA ambayo ni sawa na shahada ya uzamili ya saikolojia baada ya kupata mkopo kutoka wizara ya ulinzi ya Algeria. Baada ya kupata shahada ya kwanza, aliandika vitabu viwili kati ya mwaka 1981 na 1984, “Attende et Journal” na hadithi fupi.
Mwaka 1988, aliachana na jeshi baada ya kufikia cheo cha ukapteni na kuhamishia mitazamo yake katika uandishi. Kujitolea kwake katika uandishi wa habari na riwaya ilichangia kuundwa na kuanzishwa kwa habari za Hebdo mnamo mwaka 1990. Baada ya hapo, alichapisha insha iitwayo “Les Islamistes Algeriens Face Au Pouvoir” ( Waislamu wa Algeria katika mamlaka), akichimbua ajenda za kidini za F.L.N na F.I.S. Insha hiyo ilipigwa marufuku na serikali ya Algeria na Khelladi alikimbia nchi baada ya majaribio ya kuuawa kwake kushindwa. Alipatiwa uhifadhi wa kisiasa na Ufaransa ambapo aliendelea na kazi yake.
Mwaka 1988, aliachana na jeshi baada ya kufikia cheo cha ukapteni na kuhamishia mitazamo yake katika uandishi. Kujitolea kwake katika uandishi wa habari na riwaya ilichangia kuundwa na kuanzishwa kwa habari za Hebdo mnamo mwaka 1990. Baada ya hapo, alichapisha insha iitwayo “Les Islamistes Algeriens Face Au Pouvoir” ( Waislamu wa Algeria katika mamlaka), akichimbua ajenda za kidini za F.L.N na F.I.S. Insha hiyo ilipigwa marufuku na serikali ya Algeria na Khelladi alikimbia nchi baada ya majaribio ya kuuawa kwake kushindwa. Alipatiwa uhifadhi wa kisiasa na Ufaransa ambapo aliendelea na kazi yake.

Pitio la 07:40, 28 Agosti 2021

Aïssa Khelladi ni raia kutokea nchini Algeria, ni mwandishi wa habari, riwaya na maigizo, ambaye alichapisha vitabu vya misingi ya Kiislamu, tamthilia na riwaya mbalimabali ikiwemo Peurs et Mensonges na Rose d'abime. Riwaya hizi zote mbili zinajikita katika hali ya sasa ya Algeria.[1][2]

Maisha

           Aïssa Khelladi alizaliwa nchini Algeria mwaka 1953, kabla ya vita vya Algeria ya kupambania uhuru wake kati ya chama cha ukombozi cha National Liberation Front (F.L.N) ya Algeria na serikali ya Ufaransa. Alianza kuhudhuria masomo ya Kurani katika umri mdogo kabla ya kujiunga na shule ya msingi na Sekondari huko Algiers kabla ya kuachana na masuala ya elimu pale ambapo si ya ulazima na kuisaidia familia yake. Alifanya mtihani wa baccalaureate kabla ya kuendelea na elimu ya juu katika chuo kikuu cha Algiers na kutunikiwa shahada ya kwanza ya sanaa na DEA ambayo ni sawa na shahada ya uzamili ya saikolojia baada ya kupata mkopo kutoka wizara ya ulinzi ya Algeria. Baada ya kupata shahada ya kwanza, aliandika vitabu viwili kati ya mwaka 1981 na 1984, “Attende et Journal” na hadithi fupi. Mwaka 1988, aliachana na jeshi baada ya kufikia cheo cha ukapteni na kuhamishia mitazamo yake katika uandishi. Kujitolea kwake katika uandishi wa habari na riwaya ilichangia kuundwa na kuanzishwa kwa habari za Hebdo mnamo mwaka 1990. Baada ya hapo, alichapisha insha iitwayo “Les Islamistes Algeriens Face Au Pouvoir” ( Waislamu wa Algeria katika mamlaka), akichimbua ajenda za kidini za F.L.N na F.I.S. Insha hiyo ilipigwa marufuku na serikali ya Algeria na Khelladi alikimbia nchi baada ya majaribio ya kuuawa kwake kushindwa. Alipatiwa uhifadhi wa kisiasa na Ufaransa ambapo aliendelea na kazi yake. Akiwa Ufaransa, alichapisha riwaya nyingine iitwayo “Peurs et Mensonges” (“Fears and Lies”) mnamo mwaka 1996. Ndani ya mwaka huo, Khelladi alianzisha jarida la Algérie Littérature/Action akiwa pamoja na Marie Virolle. Ilhali akiwa bado Ufaransa, alichapisha riwaya mbili mwaka 1998, Rose d’Abime” na “Spolaition”.


Marejeo

  1. Aïssa KHELLADI Africultures.com
  2. Toler, Michael; Aïssa Khelladi; Marie Virolle (July 2006). "Literature, Art, and a Country in Crisis". World Literature Today 80 (4): 16–20. JSTOR 40159128. doi:10.2307/40159128.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aïssa Khelladi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.