Kipanya (kompyuta) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d wikidata interwiki
No edit summary
Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:2-buttons_mouse.jpg|right|thumb|200px|Puku ya kompyuta yenye vitufe viwili]]
[[Image:2-buttons_mouse.jpg|right|thumb|200px|Puku ya kompyuta yenye vitufe viwili]]
'''Kipanya cha kompyuta''' (''pia:'' '''puku''') ni kifaa cha kuingizia [[data]] katika [[tarakilishi]].
'''Kitanya cha kompyuta''' (''pia:'' '''puku''') ni kifaa cha kuingizia [[data]] katika [[tarakilishi]].

Kipanya hushikwa kwa mkono na kusukumwa mezani. Mwendo wake husababisha mshale wa kasa ([[kielekezi]]) kutembea kwenye [[kiwamba]].
Kitanya hushikwa kwa mkono na kusukumwa mezani. Mwendo wake husababisha mshale wa kasa ([[kielekezi]]) kutembea kwenye [[kiwamba]].

Mtumiaji hulenga kwa mshale huko anapochagua kotoa amri kwa kubofya kitufe cha kipanya. Tendo hili lasababisha amri inayoonekana kama alama au mchoro kwenye skrini kutekelezwa na programu ya kompyuta.

Pitio la 16:16, 16 Julai 2021

Puku ya kompyuta yenye vitufe viwili

Kitanya cha kompyuta (pia: puku) ni kifaa cha kuingizia data katika tarakilishi.

Kitanya hushikwa kwa mkono na kusukumwa mezani. Mwendo wake husababisha mshale wa kasa (kielekezi) kutembea kwenye kiwamba.