Mwongozaji wa filamu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muongozaji
d Muongozaji moved to Mwongozaji over redirect: Sio Kiswahili sanifu. Bora ipelekwe kwa Mwongozaji...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:34, 22 Februari 2008

Muongozaji wa filamu ni mtu anayetoa maelekezo namna ya utengenezaji wa filamu, Kuanzia mandhari mpaka vitendo. Muongozaji yeye ndiye anatoa hadithi mzima kama ilivyoandika katika karatasi ya filamu vile inavyotakiwa iwe (Script) na kuelezea kwa muigizaji au waigizaji.