John Michael Kosterlitz : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
rekebisha tarehe ya kuzaliwa
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha: Jkosterl.jpg|thumbnail|right|200px|John Michael Kosterlitz]]

'''John Michael Kosterlitz''' (amezaliwa [[1942]]) ni mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Mwaka wa [[2016]], pamoja na [[David James Thouless]] na [[Frederick Duncan Michael Haldane]], alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''. Alipewa tuzo kwa utafiti wa kinadharia katika maelezo ya tabia za mata katika hali karibu na [[sifuri halisi]] ([[ing.]] ''"for theoretical discoveries of topological phase transitions and topological phases of matter"'')<ref>[https://books.google.com/books?id=Z4PN4GnsrSgC&q=%22Thouless,+david+james%22+1934&dq=%22Thouless,+david+james%22+1934&hl=en&sa=X&ei=k9WWUdjJM-X5iwKd-oGQAw&ved=0CFQQ6AEwCA The international who's who 1991-92]</ref><ref>[https://www.nobelprize.org/nobel_prizes/physics/laureates/2016/ The Nobel Prize in Physics 2016]</ref><ref name=naturenob>{{cite journal|last1=Gibney|first1=Elizabeth|last2=Castelvecchi|first2=Davide|title=Physics of 2D exotic matter wins Nobel: British-born theorists recognized for work on topological phases|journal=Nature|volume=538|issue=7623|year=2016|pages=18–18|publisher=[[Springer Nature]]|location=London||doi=10.1038/nature.2016.20722}}</ref>

Toleo la sasa la 14:15, 25 Julai 2020

John Michael Kosterlitz

John Michael Kosterlitz (amezaliwa 1942) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2016, pamoja na David James Thouless na Frederick Duncan Michael Haldane, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Alipewa tuzo kwa utafiti wa kinadharia katika maelezo ya tabia za mata katika hali karibu na sifuri halisi (ing. "for theoretical discoveries of topological phase transitions and topological phases of matter")[1][2][3] .

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The international who's who 1991-92
  2. The Nobel Prize in Physics 2016
  3. Gibney, Elizabeth; Castelvecchi, Davide (2016). "Physics of 2D exotic matter wins Nobel: British-born theorists recognized for work on topological phases". Nature (London: Springer Nature) 538 (7623): 18–18. doi:10.1038/nature.2016.20722. 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Profesa John Chalker, mkuu wa idara ya Fizikia ya Kinadharia kwenye Chuo Kikuu cha Oxford anajaribu kueleza tuzo ya Nobel ya 2016 kwa maneno ya kiraia

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Michael Kosterlitz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.