Kislavoni cha Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 16: Mstari 16:
[[csb:Pòrénkòwòsłowiańsczé jãzëczi]]
[[csb:Pòrénkòwòsłowiańsczé jãzëczi]]
[[de:Ostslawische Sprachen]]
[[de:Ostslawische Sprachen]]
[[dsb:Pódzajtšnosłowjańske rěcy]]
[[en:East Slavic languages]]
[[en:East Slavic languages]]
[[es:Lenguas eslavas orientales]]
[[es:Lenguas eslavas orientales]]

Pitio la 22:00, 18 Januari 2008

Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Magharibi ni lugha rasmi;
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Mashariki ni lugha rasmi;
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Kusini ni lugha rasmi

Kislavoni cha Mashariki ni kundi la lugha za Kislavoni zinazozungumzwa katika Ulaya ya Mashariki. Ni lugha tatu za Kirusi, Kiukraine na Kibelarus. Idadi ya wasemaji wa lugha hizi ni kubwa kushinda idadi ya wasemaji wa lugha za Kislavoni cha Kusini au cha Magharibi.

Lugha zote tatu zilitokana katika lugha ya pamoja inayoaminiwa ilitumiwa katika Ulaya ya Mashariki mnamo mwaka 1000 / 1200 BK. Ziliachana baadaye na kukuza tabia za pekee.

Lugha zote tatu hutumia mwandiko wa Kikyrili.