Jennifer Bash : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Jennifer Bash''' ni mjasiriamali maarufu katika kilimo nchini Tanzania.Mwanamke huyu ni mwanzilishi wa kampuni inayoitwa '''AKTZ Industries Ltd''' inayojihusisha na utengenezaji wa vyakula vyenye chapa ya '''Alaska Tanzania'''<ref>http://www.thecitizen.co.tz/magazine/woman/Supporting-local-farmers/1843796-3183222-ajsmfd/index.html</ref>.Kutokana na jitihada zake katika ujasiriamali,alifanikiwa kuzawadia tunzo na kampuni ya utangazaji ya Clouds Media Group mwaka 2016 kama mwanamke aliyefanikiwa katika biashara ya kilimo.
'''Jennifer Bash''' ni mjasiriamali maarufu katika kilimo nchini Tanzania.Mwanamke huyu ni mwanzilishi wa kampuni inayoitwa '''AKTZ Industries Ltd''' inayojihusisha na utengenezaji wa vyakula vyenye chapa ya '''Alaska Tanzania'''<ref>http://www.thecitizen.co.tz/magazine/woman/Supporting-local-farmers/1843796-3183222-ajsmfd/index.html</ref>.Kutokana na jitihada zake katika ujasiriamali,alifanikiwa kuzawadia tuzo na kampuni ya utangazaji ya Clouds Media Group mwaka 2016 kama mwanamke aliyefanikiwa katika biashara ya kilimo.




Mstari 5: Mstari 5:


==marejeo==
==marejeo==
[[Category: Wiki Loves Women Tanzania]]
[[Category: Wiki Loves Women Tanzania]][[Category: Wanawake wa Tanzania]]

Pitio la 19:20, 9 Septemba 2018

Jennifer Bash ni mjasiriamali maarufu katika kilimo nchini Tanzania.Mwanamke huyu ni mwanzilishi wa kampuni inayoitwa AKTZ Industries Ltd inayojihusisha na utengenezaji wa vyakula vyenye chapa ya Alaska Tanzania[1].Kutokana na jitihada zake katika ujasiriamali,alifanikiwa kuzawadia tuzo na kampuni ya utangazaji ya Clouds Media Group mwaka 2016 kama mwanamke aliyefanikiwa katika biashara ya kilimo.



marejeo

  1. http://www.thecitizen.co.tz/magazine/woman/Supporting-local-farmers/1843796-3183222-ajsmfd/index.html