Kaizari Karoli VI : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaisari --> Kaizari
d Kaisari Karoli VI umehamishwa hapa Kaizari Karoli VI: Maandishi rasmi kulingana na kamusi ya TUKI
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:14, 6 Januari 2008

Karoli VI (1 Oktoba, 168520 Oktoba, 1740) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1711 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Joseph I, na kufuatiwa na Karoli VII.