Tofauti kati ya marekesbisho "Basi"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Basi''' ni chombo cha usafiri kinacho tumika kusafirisha watu kutoka eneo moja kwenda eneo jingine kwaajili ya shughuli mbalimbali mfano za [[kikazi]...')
 
No edit summary
[[Picha:Minibus in Novoaltaisk 02.JPG|thumb|basi dogo huko Novoaltaisk]]
'''Basi''' ni chombo cha [[usafiri]] kinacho tumika kusafirisha [[watu]] kutoka eneo moja kwenda eneo jingine kwaajili ya shughuli mbalimbali mfano za [[kikazi]],[[kimasomo]],[[kiutafiti]] na kadhrika.vyombo hivi vipo vya aina mbalimbali mfano kuna [[mabasi]] madogo yanayobeba [[abiria]] wachache na kusafiri umbali wa kawaida na pia kuna [[mabasi]] makubwa yenyekubeba [[watu]] wengi kuanzia [[watu]] [[hamsini]] na kuendelea na [[mabasi]] haya usafiri umbali mrefu yanaweza kusafiri kutoka [[nchi]] moja kwenda [[nchi]] nyingine bila kumpumzishwa.katika [[dunua]] ya sasa [[mabasi]] yanatumika sana kati shughuli mbalimbali mfano shughuli za [[kiuchumi]] kwa kusafirisha [[wafanyakazi]] na [[wafanyabiashara]] katika [[nchi]] mbalimbali, kwa msaada wa vyombo hivi [[watu]] wanaweza kufika sehemu nyingi kwa wakati na [[kazi]] zao kwa wakati hali hii imesaidia kwa kiasi kikubwa kukuza uchumi wa [[nchi]] nyingi [[duniani]]
75

edits

Urambazaji