Nenda kwa yaliyomo

Rekodi kuu za umma

Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za Wikipedia kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).

Kumbukumbu
  • 10:43, 23 Aprili 2020 Fatuma taha majadiliano michango created page Tarekh ya mitume:Ibrahim (Tarekh ya mitume:Ibrahim Mtume wa Tawhidi Ibrahim (‘Alahyi Salaam) Mtume wa Tawhidi, hilo linadhihiri katika Historia yake; hivyo ndio maana Allah akamsifu kwa kusema: “Hakika Ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.” (16:120);) Tag: KihaririOneshi
  • 08:50, 25 Machi 2020 Fatuma taha majadiliano michango created page Swala ya Kuomba Mvua (Dalili ya Usheria wa Swalah ya Kuomba Mvua Swalah ya kuomba mvua ni sunnah iliyotiliwa mkazo kwa kitendo cha Mtume ﷺ, kama ilivyo kwenye hadithi iliyopokelewa na Abdullah bin Zaid t kwamba Mtume ﷺ alitoka kwenda kwenye kiwanja cha kuswali akaomba mvua, akaelekea Kibla, akageuza kishali chake na akaswali rakaa mbili) [Imepokewa na Bukhari na Muslim.].)
  • 16:43, 20 Machi 2020 Fatuma taha majadiliano michango created page Twahara na Aina za Maji (1. twahara wa ndani Nao ni kuusafisha moyo na ushirikina na maasia na kila chenye kuutia doa. Haiwezekani kuhakikishika utwahara iwapo kutakuwa na uchafu wa ushirikina ndani ya moyo, kama ilivyo katika maana ya maneno ya Mwenyezi Mungu U:{Enyi Mlioamini! Hakika washirikina ni najisi, basi na wasiukaribie Msikiti wa Haram (Msikiti wa Makka) baada ya mwaka wao huu. Na mkiwa mnaogopa umasikini, basi Mwenyezi Mungu Atawakwasisha nyinyi kwa fadhla Zake. Hakika Mwenyezi Mungu ni mjuzi Mwenye hekima} [)
  • 10:47, 14 Machi 2020 Fatuma taha majadiliano michango created page Swala ya Kuomba Mvua (Maana ya Swala ya kuomba Mvua Kuomba Mvua Ni kuomba kunyeshe mvua, kutoka kwa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka, kipindi cha ukame na uchache wa mvua. Dalili ya Usheria wa Swalah ya Kuomba Mvua Swalah ya kuomba mvua ni sunnah iliyotiliwa mkazo kwa kitendo cha Mtume ﷺ, kama ilivyo kwenye hadithi iliyopokelewa na Abdullah bin Zaid t kwamba Mtume ﷺ alitoka kwenda kwenye kiwanja cha kuswali akaomba mvua, akaelekea Kibla, akageuza kishali chake na akaswali rakaa mbili) [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]. W)
  • 22:37, 11 Machi 2020 Fatuma taha majadiliano michango created page Huduma za swala (Swalah ya mwenye kukaa a. Katika Swalah ya Sunna: Swala ya mwenye kukaa ni sahihi na thawabu zake ni nusu ya zile za mwenye kuswali kwa kusimama, kwa kuwa Mtume (S.A.W) alisema: (Akiswali kwa kusimama, basi hivyo ni bora. Na mwenye kuswali kwa kukaa basi thawabu zake ni nusu ya thawabu za mwenye kusimama. Na mwenye kuswali kwa kulala, basi thawabu zake ni nusu ya thawabu mwenye kukaa) [ Imepokewa na Bukhari.].)
  • 19:53, 10 Machi 2020 Fatuma taha majadiliano michango created page Maana ya saumu za sunna (Maana ya saumu za sunna Saumu za Sunna Saumu yoyote amabayo sio ya lazima na mtu anaifunga ili kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu U Na saumu ya sunna ina fadhila kubwa na malipo makubwa. Katika Hadithi Al-Qudsy kutoka kwa Abu Hureirah t Anasema: Amesema Mtume (saw): “Kila kitendo chema cha mwanadamu malipo yake huongezwa, jema moja hulipwa kwa kumi mfano wake mpaka kufikia mara sabini. Anasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Isipokuwa saumu, kwani hiyo ni yangu mimi, na mimi ndiye mwenye kuilipa” [Imepok)
  • 14:36, 28 Februari 2020 Fatuma taha majadiliano michango created page Udhu (Maana ya Kutawadha Udhu katika lugha Uzuri na usafi Udhu katika Sheria Kutumia maji kwenye viungo maalumu kwa nia ya kujitwahirisha Hukumu ya kutawadha Kutawadha: ima ni lazima na ima inapendekezwa: a. Ni lazima kutawadha kwa mambo matatu 1. Kuswali Mwenyezi Mungu U Anasema: {Enyi Mlioamini! Mnapo simama kwa ajili ya swala basi osheni nyuso zenu, na mikono yenu mpaka vifundoni, na mpake vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni} [5: 6] 2. Kutufu Alkaba: Kwa kauli yake Mtume ﷺ kumwam)
  • 15:57, 24 Februari 2020 Fatuma taha majadiliano michango created page Mtumiaji:Fatuma taha (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Kwanza: kuingia wakati Swala ya faradhi ina wakati ambao haiswihi kabla yake, wala baada yake isipokuwa kwa dharura. Asema Mwenyezi Mungu aliyetukuka: { Hakika...')
  • 15:51, 24 Februari 2020 Fatuma taha majadiliano michango created page Kuoga janaba (Maana Ya Janaba, Na Kuoga Janaba Kwa Asiyeoa)
  • 15:41, 24 Februari 2020 Akaunti ya mtumiaji Fatuma taha majadiliano michango iliundwa