MURS

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Murs (kulia) na 9th Wonder wakitumbuiza katika Tamasha za ‘’Paid Dues hip hop’’ at the Ukumbi wa Nokia Jijini New York.
Murs (kulia) na 9th Wonder wakitumbuiza katika Tamasha za ‘’Paid Dues hip hop’’ at the Ukumbi wa Nokia Jijini New York.
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Nick Carter
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Msanii wa Rap
Miaka ya kazi 1996 – leo
Studio Warner Bros. Records
Definitive Jux
Record Collection
Ame/Wameshirikiana na Living Legends, Felt, 9th Wonder, 3 Melancholy Gypsys, The Invincibles
Tovuti www.mursmusic.com/

Makala hii inamhusu msanii wa muziki wa Rap. MURS pia ni kifupi cha

Nick Carter ambaye anajulikana kwa jina la usanii kama MURS ni msanii wa Marekani wa Muziki wa aina ya Rap. Jina lake la kisanii la MURS ambalo aliliunda mwenyewe linaweza kuwa na maana nyingi kama vile "Making the Universe Recognize and Submit" au "Making Underground Raw Shit"[1] Alitia mkataba wa lebo ya kibinafsi ya Record Collection na ni mwanachama wa Makundi ya Muziki aina ya Hip Hop ya Living Legends, Felt na 3 Melancholy Gypsys. MURS pia ni mwanabendi wa bendi ya muziki wa aina ya Punk Fusion iitwayo The Invincibles pamoja na Jacksonville, ambaye hujiita Mkate wa Ngano (Whole Wheat Bread) kutoka Florida, ambapo anaimba sauti ya Lead.

Kazi yake[hariri | hariri chanzo]

MURs alitoa wimbo wake wa kwanza mnamo 1993, wimbo aliouchukua kutoka albamu iliyotoka peke yake ya kundi lake la kwanza la Melancholy Gypsies (pia hujulikana kama 3MG) ).[2]. Kundi hili lilitengeneza urafiki na Mystik Journrymen na kujiunga nao katika Mkusanyiko wa The Living Legends wa 1996.[2]

MURS alijitokeza kama msanii wa Rap katika zaidi ya rekodi, EP na Singles ishirini katika kipindi cha miaka saba, zote zikitolewa na 3MG na ‘’Living Legends.[2]. Albamu yake ya kwanza The End of the Beginning (Mwisho wa Mwanzo), ilitoka mnamo 2003[2]. Pia alifanya kazi na Slug akitumia jina la Felt [2].

Albamu ya pili Murs 3:16: The 9th Edition ilitolewa na 9th Wonder. Huku akichukua mtazamo wa maana zaidi kuliko wansanii wa Rap ya Kijangili, MURS ameweza kugusia zaidi kuhusu upotovu unaoukumba utamaduni wa hip hop. ".[3].Ngoma yake Walk Like a Man (Tembea kama mwanaume) kutoka albamu hiyo ilichochea filamu ya jina lilo hilo ambapo MURS anaigiza kama Damien wigfall Cite error: Invalid <ref> tag; invalid names, e.g. too many. Hii ilitanguliwa na albamu ya ‘’Sweet Lord’’ ambayo ilipatiwa mashabiki bila malipo. .[4]

Kando na Muziki, MURS pia ni msimulizi wa Current TV.[onesha uthibitisho]

Muungano na Makundi[hariri | hariri chanzo]

 • 3 Melancholy Gypsys ( 3MG )- iliundwa pamoja na wenziwe katika shule, Scarub na Elijah. WOte watatu walijiunga na kundi la ‘’Living Legends’’ baadaye."[5].
 • Felt – Kundi la Hip Hop la watu wawili lililoundwa na MURS pamoja na Slug. Kama ‘’Felt’’, wametoa albamu tatu na wanaendelea kuzikuza.
 • The Netherworlds – Kundi la Hip Hop linalojumuisha MURS, Anacron na msanii wa Rap ‘’Himself’’.
 • The Invincible(s) – Kundi la Hip Hop na Rock lililoundwa na Murs na ‘’Whole Wheat Bread’’ mnamo 2008.[6].

Mnamo 2007 MURS alishirikishwa katika kipindi cha "The Breakdown" ambapo alizungumzia LP yake na 9th Wonder, filamu mpya ya ‘’The start of Hip Hop Festival Tour’’ mwanzo wake katika muziki wa Hip Hop na mada zingine. Mnamo 2009 MURS aliungana na Tech N9ne katika ‘’Sickology 101 Tour’’.

Usanii wa Muziki[hariri | hariri chanzo]

Akiimba peke yake[hariri | hariri chanzo]

Albamu za Kolabo[hariri | hariri chanzo]

EP[hariri | hariri chanzo]

 • 1996 - Bac for No Good Reason EP (with 3 Melancholy Gypsys)
 • 1996 - Comurshul EP (with 3 Melancholy Gypsys)
 • 1999 - 3:16 the EP - LLCrew
 • 1999 - "Good Music (remix)" - LLCrew
 • 2000 - "24 Hrs. w/a G/The Two Step" - LLCrew
 • 2000 - "Bac for No Good Reason" - LLCrew
 • 2000 - "The Netherworlds" - Murs, Anacron & Himself
 • 2000 - Do More + Yeah EP
 • 2002 - Varsity Blues EP
 • 2003 - "Def Cover" - Definitive Jux
 • 2003 - "Risky Business/Brotherly Love" - Definitive Jux
 • 2005 - "Hustle/Bartender" - N2O
 • 2007 - "Better Than the Best" - Warner Bros.

Single[hariri | hariri chanzo]

 • 2007 - "Better Than the Best"
 • 2008 - "Can It Be (Half a Million Dollars and 18 Months Later)"
 • 2009 - Murs & Far East Movement: Break Up [Remix] (The OJ Song)

Mikusanyiko[hariri | hariri chanzo]

 • 2005 - Walk Like a Man - Genaro Bautista Jr - Legendary Music
 • 2005 - The Genocide in Sudan - Various

DVD[hariri | hariri chanzo]

 • MC*TV *Mass Chaos (1998) LLCrew
 • Walk Like a Man (2005) Legendary Music
 • Murray's Revenge: DVD (2007) Record Collection

Ushirikishi katika michezo ya Video[hariri | hariri chanzo]

Transitions az a Ryda inaonekana katika mchezo wa Tony Hawk wa ‘’Underground’’

 • Wimbo wa "L.A." kutoka albamu yake ya Murray's Revenge, ulitumika katika mchezo wa video wa NBA Live uliotungwa na E.A. .[7]
 • wimbo wa ‘’Dreadlocks’’ umeshirikishwa katika mchezo wa “EA sports” wa soka uitwao Madden NFL 08
 • Wimbo wa ‘’Looking Fly’’ umetumiwa katika mchezo wa “Midnight Club LA”

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Mahojiano[hariri | hariri chanzo]

Majadiliano[hariri | hariri chanzo]