Mölnlycke
Mandhari
Mölnlycke ni mji mdogo nchini Uswidi. Iko mashariki ya Göteborg katika mkoa wa Västra Götaland. Kuna wakazi 14,439 (mwaka 2005).
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mölnlycke kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |