Mölndal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mölndal

Mölndal ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 37 233 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1922. Leo hii ni mji wa viwanda.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Ni pambizo wa Göteborg.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mölndal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.