Nenda kwa yaliyomo

Lydia Moss Bradley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lydia Moss Bradley 1907

Lydia Moss Bradley (Julai 31, 1816 - Januari 16, 1908) alikuwa raisi wa benki tajiri na mfadhili mashuhuri kwa kazi zake za uhisani. Alianzisha Chuo cha Polytechnic Institute huko Peoria, Illinois mnamo mwaka 1897.[1]

  1. "Lydia Moss Bradley," in "Discover the Women of the Hall." Seneca Falls, New York: National Women's Hall of Fame, retrieved online June 24, 2018.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lydia Moss Bradley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.