Nenda kwa yaliyomo

Lust (filamu ya 2010)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lust (kwa Kiswahili: Tamaa; kwa Kiarabu: الشوق, El Shoq) ni filamu ya maigizo ya mwaka 2010 [1] kutoka Misri iliyoongozwa na Khaled El Hagar.

Filamu hiyo ilichaguliwa katika kinyanganyiro kwenye kipengele cha filamu bora ya lugha ya kigeni katika tuzo za 84 za Academy,[2][3] lakini haikuingia katika orodha fupi ya mwisho.[4]

  1. "Sawsan Badr steals the show in 'Lust' - Dailynewsegypt" (kwa American English). 2010-12-08. Iliwekwa mnamo 2024-02-10.
  2. https://english.ahram.org.eg/~/NewsContent/5/32/23157/Arts--Culture/Film/Egyptian-film-ElShouq-to-vie-for-Oscar-.aspx
  3. "63 Countries Vie for 2011 Foreign Language Film Oscar® | Press Release | The Academy". web.archive.org. 2012-05-18. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-18. Iliwekwa mnamo 2024-02-10.
  4. "9 Foreign Language Films Vie for Oscar®". web.archive.org. 2012-05-18. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-18. Iliwekwa mnamo 2024-02-10.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lust (filamu ya 2010) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.