Lupane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lupane ni mji wa Zimbabwe, makao makuu ya mkoa wa Matabeleland Kaskazini.

Katika sensa ya mwaka 2012 wakazi walihesabiwa kuwa 100,000.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lupane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.