Nenda kwa yaliyomo

Luminus Arena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Luminus Arena.

Luminus Arena ni uwanja wa soka unaopatikana huko Genk, Ubelgiji. Ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya KRC Genk. Uwanja huo una uwezo wa kubeba watu 23,718 (ambayo 4,200 ni mahali pa kusimama) na ilijengwa mnamo mwaka 1999.

Kabla ya kuanzishwa msimu wa 2007-2008, uwanja huo ulijulikana kwa jina la "het Fenixstadion". Mapema 2007 Genk walisaini makubaliano na kampuni ya bia ya Alken-Maes na kubadili jina la uwanja kwa kipindi cha miaka 5 Cristal Arena. Mnamo mwaka wa 2016, jina hilo lilibadilishwa kuwa Luminus Arena, ambapo Luminus ni jina la mdhamini mpya wa klabu.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Luminus Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.