Luka Jelas Siyame

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Luka Jelas Siyame (amezaliwa tar. 13 Mei 1951) ni mbunge wa jimbo la Mbozi Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Luka Jelas Siyame (6 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.