Nenda kwa yaliyomo

Lukáš Gdula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lukáš Gdula (alizaliwa Disemba 6, 1991) ni mwanariadha wa mbio za kutembea kutoka nchini Ucheki. Alishiriki kwenye mchuano wa kilomita 50 kwenye michuano ya dunia ya mwaka 2015[1] na 2016 michezo ya  olimpiki.[2] Mwaka 2018, alishiriki kwenye matembezi ya wanaume ya kilometa 50 kwenye michuano ya wanariadha ya Ulaya ya mwaka 2018 yaliyofanyika Berlini, Ujerumani.[3] Alimaliza nafasi ya 21.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 0_R_COR (iaaf.org)
  2. www.rio2016.com
  3. "Wayback Machine" (PDF). web.archive.org. 2018-08-08. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-08-08. Iliwekwa mnamo 2021-10-11.