Luis Alvarez
Mandhari
(Elekezwa kutoka Luis Walter Alvarez)
Luis Walter Alvarez (13 Juni 1911 – 1 Septemba 1988) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya utafiti mwingine, alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1968 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Luis Alvarez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |