Nenda kwa yaliyomo

Luis Alberto Ambroggio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Luis Alberto Ambroggio (Córdoba, Argentina, 1945) ni mshairi, mchambuzi huru, na mwandishi wa Argentina-Marekani. Yeye ni Mwanachama Kamili wa Akademia ya Kaskazini ya Lugha ya Kihispania (Academia Norteamericana de la Lengua Española) na mwandishi mshirika wa Akademia ya Kifalme ya Kihispania (Real Academia Española). Kazi zake zinajumuisha insha, mashairi, na tafsiri.[1]

  1. "Poeta Aviador." Diario Las Américas. Domingo 29 de diciembre de 200, página 11-B; "El poeta aviador vuela de nuevo." La Pájara Pinta, septiembre de 2005.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luis Alberto Ambroggio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.