Nenda kwa yaliyomo

Luhaga Joelson Mpina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Luhanga Mpina)
Mhe. Luhaga Joelson Mpina Mb


Mbunge wa Kisesa
Aliingia ofisini 
Desemba 2005 - 2025

tarehe ya kuzaliwa 5 Mei 1975 (1975-05-05) (umri 50)
utaifa Mtanzania
chama Alliance for Change and Transparency
mhitimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe (B.Acc)
Chuo Kikuu cha Strathclyde (MSc)

Luhaga Joelson Mpina (amezaliwa 5 Mei 1975) alikuwa mbunge wa Jimbo la uchaguzi la Kisesa katika bunge la kitaifa nchini Tanzania[1] akitokea katika chama cha CCM.

Mwaka 2005 alichaguliwa mara ya kwanza kuwa mbunge akarudishwa katika chaguzi za 2010, 2015 na 2020. 2017 - 2020 alikuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi katika serikali ya rais John Magufuli.

Mwaka 2025 alihamia chama cha Alliance for Change and Transparency na kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Luhaga Joelson Mpina". 21 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luhaga Joelson Mpina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.