Lugha za Kisamoyedi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maeneo ya lugha za Kisamoyedi

Lugha za Kisamoyedi ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa nchini Urusi. Lugha za Kisamoyedi ni tawi moja la lugha za Kiurali pamoja na lugha za Kifini-Kiugori.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kisamoyedi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.