Lugha za Kikaraboro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha za Karaboro zinaongelewa huko Burkina Faso na watu takriban 65,000 (SIL 1995/1991). Zinahusishwa na kundi la lugha za Senufo, lakini zimejitenga na lugha nyingine za Senufo na kundi dogo la lugha zisizo na uhusiano nazo. Ndani ya familia ya Senufo, inaaminiwa kuwa zina uhusiano wa ukaribu zaidi na lugha za Senari.

Kuna Kikaraboro-Mashariki na Kikaraboro-Magharibi.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kikaraboro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.