Lugha ya ishara ya Uhispania
Mandhari
Lugha ya ishara ya Kihispania ni lugha ya ishara inayotumiwa hasa na viziwi nchini Uhispania na watu wanaoishi nao. Ingawa hakuna takwimu nyingi za kuaminika, inakadiriwa kuwa kuna zaidi ya wasemaji 100,000, 20-30% kati yao wanaitumia kama lugha ya pili.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Parkhurst, Steven; Parkhurst, Dianne (2001). "Un estudio lingüístico: Variación de las lenguas de signos en España". Revista Española de Lingüística de Lengua de Signos (RELLS). Madrid: Promotora Española de Lingüística (PROEL).
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha ya ishara ya Uhispania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |