Lugha ya Adamu
Lugha ya Adamu ni lugha iliyotumika katika mawasiliano ya Adamu, mtu wa kwanza kadiri ya Biblia na Mapokeo ya Mitume na ambayo ilizaa lugha zote za binadamu hadi leo.
Oni maalumu
[hariri | hariri chanzo]Anna Katharina Emmerick katika ufunuo wake alijulishwa kwamba hasa lugha tatu [ya Kihindi-Kiirani] za Baktria, Zendia, India ni vizazi vya kwanza kabisa vya lugha [ya Kihindi-Kijerumani cha Kale] ya Adamu, bila shaka kulingana na usafi kama kipimo cha kubadilika kidogo kutoka kwa lugha ya Adamu yenyewe[1][2]:
Lugha ya kwanza [ya Kihindi-Kijerumani cha Kale], lugha mama, iliyozungumzwa na Adamu, Shemu, na Nuhu, ilikuwa tofauti, na sasa inapatikana tu katika lahaja za pekee. Matawi yake safi ya kwanza [ya Kihindi-Kiirani] ni Zend, lugha takatifu ya India, na lugha ya Wabaktria. Katika lugha hizo, maneno yanaweza kupatikana yakiwa sawa kabisa na Kijerumani cha chini cha eneo langu la asili. Kitabu ninachokiona katika Ktesiphon ya kisasa, kando ya Tigris, kimeandikwa kwa lugha hiyo.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Anna Katharina Emmerick -Turmbau zu Babel (Kijerumani)
- ↑ Anna Katharina Emmerick - The Tower Of Babel Ilihifadhiwa 19 Mei 2024 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Maurice Olender - Europe, or How to Escape Babel (Kiingereza)
- Julius Pokorny: Indogermanisches etymologisches Wörterbuch (Kijerumani)
- Gerhard Köbler: Indogermanisches Wörterbuch (Kijerumani)
| Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha ya Adamu kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |