Nenda kwa yaliyomo

Lucky Baloyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lucky "Sheriff" Baloyi (alizaliwa 19 Juni 1991) ni mwanasoka wa Afrika Kusini ambaye anacheza kama kiungo mkabaji wa klabu ya Maritzburg United katika Premier Soccer League.[1]

  1. "ABSA Premiership 2012/13 - Lucky Baloyi Player Profile - MTNFootball". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Novemba 2012. Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2012. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucky Baloyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.