Luca Zidane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Luca Zidane

Luca Zinedine Zidane Fernández (alizaliwa Mei 13, 1998) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Real Madrid.

Yeye ni mtoto wa mwanasoka wa zamani na kwa sasa ni kocha wa Real Madrid ya huko Hispania, Zinedine Zidane.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luca Zidane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.